Tuesday, 12 August 2014

WANAFUNZI WA AJTC WAASWA KUWA NA NIDHAMU WAKATI WA MITIHANI


Mwandishi wa Blog hii Aziz Mwinuka alifanya mahojiano na mmoja wa wanafunzi wa darasa la mount Udzungwa Nurdin Pallangyo kabla kuingia katika chumba cha mtihani.(Picha na Rajab Sultan)
 NA AZIZ MWINUKA


Wanafunzi katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha AJTC wameaswa kusoma kwa bidii ili waweze kufikia malengo yao ikiwa pamoja na kuwa na nidhamu kwa wakufunzi ,wanafunzi na watumishi wote wa chuoni hapo .

Mwandishi wa Blog hii Aziz Mwinuka alifanya mahojiano na mmoja wa wanafunzi wa darasa la mount Udzungwa Nurdin Pallangyo kabla kuingia katika chumba cha mtihani.(Picha na Rajab Sultan)

Baadhi ya wanafunzi wa darasa la Udzungwa katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha wakiwa katika chumba cha mtihani.

Hayo yamesemwa na mmoja wa wanafunzi wa darasa la mount Udzungwa katika chuo hicho Nurdin Rajabu Pallangyo wakati akizungumza na mwandishi wetu alipokuwa akisoma kwa ajili ya kujiandaa na mitihani ya kumaliza mwaka wa kwanza utakaoanza kufanyika tarehe kumi na moja mwezi huu.
Madarasa ya Mount Udzungwa na Manyara ndiyo yatakayofanya mitihani hiyo huku darasa la Manyara hao wakijiandaa na mitihani hiyo ya kuhitimu ngati ya cheti cha awali na darasa La Udzungwa wao wakikamilisha mwaka wa kwanza wa stashada .
Darasa la Manyara wao wanatakiwa kwenda kwenye mafunzo kwa vitendo kwa takribani miezi mitatu ili kumalimisha hatua ya kwanza haya tasnia ya habari mitahini hiyo nitarajiwa kufikia mwisho siku ya jumatano ya wiki hii.


No comments:

Post a Comment