Chama cha waandishi
wa habari za michezo Tanzania kimetimiza ahadi yake ya kutoa jezi kwa
chuo cha uandishi wa hababari na utangazaji arusha (AJTC) .
Ahadi hiyo ni
kufuatia ushindi walioupata katika bonanza la vyombo vya habari na
utatangazaji kanda ya kaskazini.
HABARI NA PICHA :: AGAPE MSUMARI
No comments:
Post a Comment