Thursday, 3 July 2014

MASHINDANO YA UTANGAZAJI AJTC KUWAKA MOTO!



Chuo cha uandishi wa habari na utangazaji cha jijini Arusha kimetangaza rasmi mashindano ya utangazaji kwa wanafunzi wote chuoni hapo.

NEWS:M KUU WA MKOA WA KAGERA ASITISHA LIKIZO KWA WA WILAYA NA WAKURUGENZI


 

ULINZI WAIMARISHWA SABASABA


Na Janeth Sisso
Ulinzi katika Maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF), yanayofanyika katika Uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere umeimarishwa na kazi ya kufunga kamera za ulinzi imekamilika.

MAJAMBAZI WASHAMBULIA BASI LA MAHABUSU DAR


Na Lilian Deus
Majambazi wanne jana walilishambulia kwa risasi basi la Jeshi la Magereza lililokuwa limebeba mahabusu baada ya kupora fedha kwenye gari jingine lililokuwa kwenye foleni

MBOWE AMSHANGAA PINDA KUHUSU UKAWA

Na Aziz Mwinuka
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ameelezea kushangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwamba kitendo cha Ukawa kususia Bunge la Katiba kinauweka njia panda uchaguzi wa serikali za mitaa

Wednesday, 2 July 2014

TZ Celebrity || VOTE FOR DIAMOND PLUTNUMZ, BAADA YA BET SASA DIAMOND AWA NOMINATED KATIKA TUZO ZA AFRIMMA MPIGIE KURA HAPA {2014

        Baada ya BET tunarejea tena nyumbani Afrika,Diamond Plutnumz Yuko  nominated kwenye Tuzo za  #Afrimma( AFRICAN MUSIC MAGAZINE AWARDS) awards,zitakazofanyika jijini Texas,tarehe 26 july.Yupo Nominated kwenye category 5.

Best male east afrikaSong of the year(number1).Video of the year (number 1)Best collabo (nymber1 rmx)ft davidoAnd Best afrikan artist of the year.kuvote fuata link hii www.afrimma.com/afrimma-nominees-2014/Kisha vote kwenye kila category Aliyopo.

Sports || Adam Lallana Wa SOUTHAMPTON Ametua LIVERPOOL Kwa Pauni Milioni 25{ 2014

Adam Lallana amekamilisha usajili wake kutoka Southampton kwenda Liverpool kwa kitita cha pauni milioni 25.
 Lallana amekamilisha vipimo vya afya na ataungana na Rickie Lambart aliyetokea Southampton. 
Kiungo huyo ambaye pia alikuwa katika kikosi cha England kilichocheza Kombe la Dunia, ameichezea Southampton mara 265.

AJTC TV HABARI


BONANZA LA WANAHABARI ARUSHA LAFANA. PINTO AAHIDI KUSAIDIA KUBORESHA LIJALO

 Mabingwa katika mpira wa miguu na mpira wa Pete(Netball)Chuo cha Arusha Journalism Training College(AJTC)wakishangilia ushindi wao.
wanafunzi wa AJTC  Mabingwa katika mpira wa miguu na mpira wa Pete(Netball)Chuo cha Arusha Journalism Training College(AJTC)wakishangilia ushindi wao.
 a
 Arusha.Timu ya soka na ya mpira wa pete za Chuo Cha Uandishi wa Habari Arusha (AJTC) juzi zilitwaa ubingwa katika bonanza la tisa la waandishi wa habari Kanda ya Kaskazini.
Katika bonanza hilo, lilifanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwa kuandaliwa na Taswa Arusha na kampuni ya Ms Unique, jumla ya timu 10 zilishiriki kutoka mkoa wa Arusha na Manyara.
Timu ya soka ya AJTC ilitwaa ubingwa baada ya kuifunga kwa mikwaju ya penati 5-4 timu ya Radio Sunrise, wakati wasichana wa timu hiyo, waliwashinda timu ya chuo cha  uandishi wa habari na maendeleo ya jamii (IMS), magoli 18-5. SOMA  ZAIDI