Wednesday, 13 August 2014

WANAFUNZI FUNGUENI BLOG

Nurdin Pallangyo (kulia)wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha alitoa maelezo juu ya wanafunzi wa AJTC kufungua blog kushoto ni mwandishi wa blog Udzungwa class Grace Frank.(Picha na Johaness Johnson)

NA.GRACE FRANK.
wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha wameshauriwa kufungua blog ili kuendeleza vipaji vyao.

Hayo yamesemwa na mmoja wa wanafunzi BwNurdin Pallangyo akiwa chuoni hapo akizungumzia kupelekea kufungua blog hiyo nikuhabarisha umma tukio linalotokea kwa wakati na pia kuendelea uhuru waulimwengu wa digitali.
Akizungumzia manufaa yake kupata wadhamini na matangazo na pia imemsaidia kujua vitu vingi katika internet kama mwandishi wa habari anavyotakiwa kujua akiwa katika shughuli zake za kiuandishi.
Nurdin Pallangyo 

Kwa upande wake Bw Charles Chami wa chuoni hapo amesema blog imemsaidia kwa hali ya juu japo kuna changamoto nyingi ila amewasa wanafunzi wenzake kufungua blog ili kujua vitu vingi zaidi na kuwasaidia kimaisha.


No comments:

Post a Comment