Wednesday, 2 July 2014

Sports || Adam Lallana Wa SOUTHAMPTON Ametua LIVERPOOL Kwa Pauni Milioni 25{ 2014

Adam Lallana amekamilisha usajili wake kutoka Southampton kwenda Liverpool kwa kitita cha pauni milioni 25.
 Lallana amekamilisha vipimo vya afya na ataungana na Rickie Lambart aliyetokea Southampton. 
Kiungo huyo ambaye pia alikuwa katika kikosi cha England kilichocheza Kombe la Dunia, ameichezea Southampton mara 265.

No comments:

Post a Comment